Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Matatizo ni pale Shangazi yako ameposti picha mtandaoni.. sasa ukataka kuandika "nice pic
ukaandika vibayaa.
ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!!
my friend jiandae tuu kuitiwa kikao cha familia.. 😬😬
ukaandika vibayaa.
ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!!
my friend jiandae tuu kuitiwa kikao cha familia.. 😬😬