Matatizo ni nini???

Matatizo ni nini???

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Matatizo ni pale Shangazi yako ameposti picha mtandaoni.. sasa ukataka kuandika "nice pic
ukaandika vibayaa.
ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!!
my friend jiandae tuu kuitiwa kikao cha familia.. 😬😬
 
Karibu mgeni wa jf
IMG-20180919-WA0000.jpeg
 
Matatizo ni pale Shangazi yako ameposti picha mtandaoni.. sasa ukataka kuandika "nice pic
ukaandika vibayaa.
ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!!
my friend jiandae tuu kuitiwa kikao cha familia.. [emoji51][emoji51]
Kabla ya kikao cha familia dingi ako ataitisha mechi ya ngumi na wewe
Kumuitia dada yake nguruwe
 
Matatizo ni pale Shangazi yako ameposti picha mtandaoni.. sasa ukataka kuandika "nice pic
ukaandika vibayaa.
ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!!
my friend jiandae tuu kuitiwa kikao cha familia.. [emoji51][emoji51]
Matatizo ni kama wewe hapo mfano..!
 
Back
Top Bottom