Matatizo ya Africa ndipo yanapoanzia hapa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870


Kuna tofauti kati ya leader (kiongozi) na boss.

Boss ana miliki chombo ambacho anawalipa nyie msaidie kukivusha ili anufaike zaidi ila kiongozi anasaidiana na nyie kukisukuma chombo ambacho kikivuka zaidi kitawasaidia wote kunufaika.

Lakini viongozi wa kiafrika wanakimbia traits za uongozi na kuzikombatia zile za u-boss, mnaelewa kinachofatia sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…