Matatizo ya excess gastric acid

Matatizo ya excess gastric acid

kabugira

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
1,186
Reaction score
659
Wadau naomba msaada, nina binti yangu ana umri wa miaka 16.

Amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara.

Leo nimempeleka hospitalini amechukuliwa kipimo cha pylori na akaonekana na acid nyingi tumboni.

Kuna mwenye kujua tiba ya moja kwa moja ya tatizo hili hasa .




 
Back
Top Bottom