pia nikupe trick labda inaeza msaidia mimi huwa na-monitor zikikaribia..yaani kwa mtu ambaye huwa anapatwa na maumivu haya kabla hazijaanza kuna vimaumivu vya mbali unavisikia kwa siku kadhaa. unavisikilizia mpaka pale unapoona leo au kesho siepuki unajinywea dawa zako mapema kwa hiyo maumivu yanapambana na dawa huko huko ndani. hakuna kusubiri mpaka zianze na maumivu juu ndo unywe labda kama huna dawa karibu na ndo maana kwenye mkoba wangu huwezi kosa dawa kwa ajili ya shuruba kama hizi. awe akimeza dawa mapema kabla hazijaanza au immediately zikishaanza.