Mwanantala
Senior Member
- May 13, 2010
- 130
- 26
Heshima mbele madaktari wote! Naomba mwongozo wenu watblam wa afya ya uzazi wa kina mama. Usiku huu mamsapu yuko mp. Tatizo damu inatoka kama mkojo na anajisikia maumivu makali sana tumboni. Ametumia diclofenac kidonge kimoja lakini maumivu yako palepale. Kwa sasa ameanza kusikia baridi. Naweza kumpa kidonge cha pili ili kimsaidie usiku huu? Naomba ushauri wenu.