Kwema jamani,naombeni ushauri
Nina binti yangu ana miaka 5 sasa!tangu amezaliwa uzito wake kweli hauongezeki kabisa !yaani ni mwembamba sana!yaani mikono na miguu ni imenyooka tu,baada ya Miaka mitatu nikagundua magoti yake yamevimba kuliko pelekea miguu take kupinda ! (Matege) sasa hivi ànatembea vizuri ila anachechemea
Nimezunguka hospital lakini hawajanipa haswa ugonjwa wa huyu mtoto ni upi!
Mwenye ushauri naomben wakuu