Matatizo ya kutoongezeka uzito kwa mtoto

careen Rodgers

New Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Kwema jamani,naombeni ushauri
Nina binti yangu ana miaka 5 sasa!tangu amezaliwa uzito wake kweli hauongezeki kabisa !yaani ni mwembamba sana!yaani mikono na miguu ni imenyooka tu,baada ya Miaka mitatu nikagundua magoti yake yamevimba kuliko pelekea miguu take kupinda ! (Matege) sasa hivi ànatembea vizuri ila anachechemea
Nimezunguka hospital lakini hawajanipa haswa ugonjwa wa huyu mtoto ni upi!
Mwenye ushauri naomben wakuu
 
Pole sana sister, je mtoto hapendi kula? Anapata lishe stahiki? Maana mtoto Ana bajeti yake ya msosi mara nyingine unakuta mtoto hapendi aina Fulani ya chakula ambacho hapo nyumbani ndio pendwa..Lishe ni muhimu sana kwa mtoto, Hilo tatizo lingine sijui kwa kweli subiri waje
 
Kwema jamani,naombeni ushauri
Nina binti yangu ana miaka 5 sasa!tangu amezaliwa uzito wake kweli hauongezeki kabisa !yaani ni mwembamba sana!yaani mikono na miguu ni imenyooka tu,baada ya Miaka mitatu nikagundua magoti yake yamevimba kuliko pelekea miguu take kupinda ! (Matege) sasa hivi ànatembea vizuri ila anachechemea
Nimezunguka hospital lakini hawajanipa haswa ugonjwa wa huyu mtoto ni upi!
Mwenye ushauri naomben wakuu
wa tiba mbadala vipi umejaribu??
 
Back
Top Bottom