Matatizo ya miguu

Matatizo ya miguu

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Wakuu habari
Kuna binti wa miaka 23 anasumbuliwa na tatzo la magoti kuvimba na visigino vya chini je hili linaweza kuwa tatzo gani?? Na achukue hatua gani kukabiliana na hili tatzo
 
Wakuu habari
Kuna binti wa miaka 23 anasumbuliwa na tatzo la magoti kuvimba na visigino vya chini je hili linaweza kuwa tatzo gani?? Na achukue hatua gani kukabiliana na hili tatzo

Pole sana.

Ni muhimu ukaenda hospitalini akaonwe na daktari, ikiwezekana aonane na daktari bingwa wa mifupa (orthopedics surgeon) kwa ajili ya uchunguzi, vipimo na matibabu sahihi.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom