Matatizo ya mvutano kifuani

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
59
Hali zenu Waheshimiwa, naomba ushauri/msaada, nina mgonjwa anapatwa na shida kifuani, mara nyingi kunakuwa na mvutano kifuani, kuna daktari alituambia moyo umepanuka, alipewa dawa na alishamaliza dozi bado tatizo lipo palepale. Sasa nashindwa kuelewa ni nini hasa tufanye. Naombeni ushauri.
 
Pole sana huyo Mgonjwa mpeleke Hospitli kuu ya hapo ulipo kama upo Dar Mpeleke hospitali ya Rufaa Muhimbili akaangaliwe vizuri ili tupate kujuwa ana maradhi gani yanayomsababisha moyo kupanuka usifanye mambo ya kubahatisha.
 
Amepewa dawa gani na dozi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…