Ndigwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 210
- 59
Hali zenu Waheshimiwa, naomba ushauri/msaada, nina mgonjwa anapatwa na shida kifuani, mara nyingi kunakuwa na mvutano kifuani, kuna daktari alituambia moyo umepanuka, alipewa dawa na alishamaliza dozi bado tatizo lipo palepale. Sasa nashindwa kuelewa ni nini hasa tufanye. Naombeni ushauri.