Asante itanibidi tu ila kama kuna dawa pia itanibidi nitumie maana ni muda mrefu sana kwa sisi ambao tunakaa kwenye hostel tunakula mitahani nakuwa napatwa na wakati mgumu.Jitahd uvizoee tu.. Eti
Ndg plock,nakushauri TUMIA juice inayoitwa Splina liquid chlorophyll inayotoka kampuni ya EDMARK hii itakuponesha kabisa tatizo lako la mzia(allerg)nikitumia vyakula vyenye mchanganyiko wa nyanya au maziwa pamoja na ngano napatwa na allerg ya mafua hata kama mafuta yaliyopikiwa mandazi au chapati yakipikiwa katika mboga nakuwa napatwa na allerg kutokana na mazingira inakuwa vigumu kuepuka kwa mfano ma hotelini ninaombeni ushauri nifanyaje nipone au nipate nafuu
Asante nimeshaenda hospitali mbali mbali nimemeza hiyo cetirizene kwa muda mrefu bila mafanikio ikabidi nitulie daktari alinishauri labda madawa ya asili nitumie maana kwa hiyo ya hospitalini inatuliza tu kwa muda inarudi tena.Binafsi hio hali naijua.. Kitanga tanga wanaita kambaku.
Dawa nilizowahi kushauriwa na nikatumia ni CETRIZINE, NAKUSHAURI NENDA HOSPITALI KUBWA KAFANYE KIPIMO CHA ALERGY NA HUKO UTAPATA USHAURI ZAIDI., hizo cetrizine zinatuliza tu hayo mafua ya alergy
NB:MIMI SI DAKTARI, NAONGEA KUTOKANA NA HALI ILIVYONITOKEA UPANDE WANGU.
Hata mimi nina tatizo kama hilo tofauti ni kua ukiacha mafua pia nakua kama nina kikohozi kikavu kilichokwama kooni ambacho kabla sjaongea huhitaji kwnz kujitayarsha kwa kukohoa kidogo.. Na muda mwng pua moja linakaa limeziba wakati siumwi mafua, nmshaenda hosptl zaid ya tano kubwakubwa lakn hamna mafanikio. Wenye kujua tiba tusaidieni jaman.
Mkuu Google mbona Dawa zote zinaelezewa vzr tu ikiwemo side effects+contraindications+ wenye allergy Nazo, pia ni vzr ukionana na doctor aliyeprescribe hiyo dawa ili akuandikie antibiotic nyingine usiyo na allergy nayoNilikunywa dawa ya cefixim taxim,imenisababishia muwasho,yaani nawashwa mwili mzima pia nikijikuna natokwa na vidonda,naomba msaada wa kuichunguza iwe dawa imetengenezwa na nini?ili siku nyingine sitakiwi kunywa dawa iliyotengenezwa na hicho kitu.
Jina sahihi ni cefotaxime...Nilikunywa dawa ya cefixim taxim,imenisababishia muwasho,yaani nawashwa mwili mzima pia nikijikuna natokwa na vidonda,naomba msaada wa kuichunguza iwe dawa imetengenezwa na nini?ili siku nyingine sitakiwi kunywa dawa iliyotengenezwa na hicho kitu.