Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Mimi sio malaya ila kuna kutunukiwa na siku zote waswahili husema zawadi ni zawadi huwezi kataa zawadi utaitwa mjinga ndo maana naona nitumie kinga nahua natumia mchanganyiko mara NDUME, MSD, 3BOMBA nk hivyo nashindwa kujua nizipi zenye aleji sasa naomba ushauri kwa wale wanaojua mbaya na nzuri ili nijue zipi niache zipi nitumie
Achana na hizo za bei rahisi.
 
Back
Top Bottom