Kenedy twijebile
New Member
- Mar 7, 2017
- 2
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hainogi labda tatu, huyu akikupa stress unahamia kwingine,atie papu moja
Nimekumissmkuu usiwe unatumia condom na usiwe malaya
Basi atumie kingaHainogi labda tatu, huyu akikupa stress unahamia kwingine,
Kwa maisha ya sasa kuwa na k moja ni kujitakia kufa mapema.
Uwe unazifua kwanza kuondoa yale mafuta ndo yanaleta shdaMimi sio malaya ila kuna kutunukiwa na siku zote waswahili husema zawadi ni zawadi huwezi kataa zawadi utaitwa mjinga ndo maana naona nitumie kinga nahua natumia mchanganyiko mara NDUME, MSD, 3BOMBA nk hivyo nashindwa kujua nizipi zenye aleji sasa naomba ushauri kwa wale wanaojua mbaya na nzuri ili nijue zipi niache zipi nitumie
Kinga ya nini uwoga wake Tu, yeye akimaliza akaoge faster ni kinga tosha!Basi atumie kinga
khee sawaKinga ya nini uwoga wake Tu, yeye akimaliza akaoge faster ni kinga tosha!
Unaalej n kondomHabari za asubuhi wakuu najua humu kuna wataalamu wa aina nyingi hivyo kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo ningeomba ushauri au tiba kabisa maana kila nikitumia kondom(kinga) wakati wa tendo la ndoa hua natokwa na vipele sehemu za siri hivyo naomba msaada nijue kwamba nikwanini nakama kuna kondom zenye madhara hayo je nitumie kondom gani ambazo ninzuri?
Hii tabia ya mademu kukataa kondomu kwa kisingizio cha allergy naona inazidi maana nimeshawaona kadhaa wa sampuli hiyo yaani ukilazimisha kuvaa bora asifanye na atafoc kukuvua cjui wana maana gani[emoji33] [emoji33]mm kuna demu wangu yaani condom zinamletea allegy hivo tena sio kwamba akivaa yy yaani nikivaa mm tu.sasa hataki hata kusikia yaani mtagombana kbsa seriously yaani nikumwagia nje tu wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia ya mademu kukataa kondomu kwa kisingizio cha allergy naona inazidi maana nimeshawaona kadhaa wa sampuli hiyo yaani ukilazimisha kuvaa bora asifanye na atafoc kukuvua cjui wana maana gani[emoji33] [emoji33]
Kwel mkuu hii tabia naona inazid kuota mizizi taratibuHii tabia ya mademu kukataa kondomu kwa kisingizio cha allergy naona inazidi maana nimeshawaona kadhaa wa sampuli hiyo yaani ukilazimisha kuvaa bora asifanye na atafoc kukuvua cjui wana maana gani[emoji33] [emoji33]
Daaah! Na muda huo unakuta anazngua kwny last point kbs muda huo kidume unawaza kwa kutumia kichwa kidogo,kikubwa hakifanyi kazi kbs! Sema nn sahv bora kuwakazia tu unainuka unavaa huyooo!Kwel mkuu hii tabia naona inazid kuota mizizi taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23]Gridi ya Taifa... Kilovoti 800,000 !
-Kaveli-