toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Kujichubua? Mbona hata cjawah jaribu nina rangi yangu?Inaonekana unajichubua sana wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujichubua? Mbona hata cjawah jaribu nina rangi yangu?Inaonekana unajichubua sana wewe!
Ukikosa maswali tulia.ukikosa kucomment tulia tu
Nilifikiri mwenyewe kumbe tupo wengiPole tupo wengi kumbe wenye mzio na nyuki.nduguyo hapa nikiumwa hata na mmoja ni I.C.U Nina vimba Kuanzia kichwa nakua Kama sanamu la MICHELLIN
Yaani kama Koboko?Sasa nyuki tu unalazwa,je ukikatwa na nyoka hata wa kawaida(mwenye sumu sio kali) si ndio utapelekwa ICU?
Koboko aliyemsema Diamond? Au Koboko MAMBA? KOBOKO MAMBA Ni namba nyingine.Yaani kama Koboko?
Hilo tatizo mm pia nnalo nilichoamua ni kutumia dawa asili kwasabab wanasema ni tabu kutibika hospitalNikitumia vyakula vyenye mchanganyiko wa nyanya au maziwa pamoja na ngano napatwa na allerg ya mafua, hata kama mafuta yaliyopikiwa mandazi au chapati yakipikiwa katika mboga nakuwa napatwa na allerg kutokana na mazingira inakuwa vigumu kuepuka kwa mfano ma hotelini.
Ninaombeni ushauri nifanyaje nipone au nipate nafuu.