Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

1.Dermatophagoides pteronyssinus
2.Dermatophagoides farinae
3.Birch
4.Grass mix
5.Alternaria alternata/tenuis
6.Sesame
7.Cladosporium herbarum
8.Crab
9.BSA=Bovine serum albumin
10.Soya bean
11.Cod
Tatizo la allergy ni kubwa na effect ninayoipata ni ngozi kuharibika na nimesumbuka kwa muda mrefu kwa sasa nadhan nimepata tiba sahihi.Hivyo naomba kwa wenye uelewa wa hizo terms hapo juu anisaidie niweze kufahamu maana zake kwa kiswahili, naamini tutajifunza na kujua nini cha kufanya watu wote wenye tatizo la namna hii.
Natanguliza shukrani zangu wakuu.
20190509_224341.jpeg
 
Wakuu nikila nyama napata allergy, mwili unawasha najikuna hadi navimba,nina maanisha nyama ya wanyama wote waliwao hususan hapa Tz, ila nikila samaki hakuna shida.Sasa kwa waelewa wa hii kitu nitumie dawa gani nipone?
 
Mimi pia, nikila Yai au Tambi.
Nini tiba.
 
Ndio manusura yako hiyo baba, achana nayo tafuna vyuku na samaki
 
Uko mkoa gani? kuna dawa naifaham, jina limenitoka labda unipm kesho niwasiliane na mama anipe jina, kama upo mbal na arusha au kilimanjaro anaweza akakutumia kwa basi UKAJARIBU.

Ni miziz flani hivi unachemsha na nyama alagu unakula from thea inaisha
 
Nipo dodoma
Uko mkoa gani? kuna dawa naifaham, jina limenitoka labda unipm kesho niwasiliane na mama anipe jina, kama upo mbal na arusha au kilimanjaro anaweza akakutumia kwa basi UKAJARIBU.

Ni miziz flani hivi unachemsha na nyama alagu unakula from thea inaisha
a
 
Dawa yake Mkuu achana nayo kula hao hao Samaki na mboga mboga, mbona poa tu.
 
Mkuu kwani lazima ule nyama, kama unaona inakupa shida si uache ule samaki na magadi.
 
Usisahau kumtumia na Mkuyati
uko mkoa gani?
kuna dawa naifaham
jina limenitoka labda unipm kesho niwasiliane na mama anipe jina
kama upo mbal na arusha au kilimanjaro anaweza akakutumia kwa basi UKAJARIBU
ni miziz flani hivi unachemsha na nyama alagu unakula from thea inaisha
 
Mzuqa!

Hii ishu ya allergy sijui kwa kiswahili siyo ya kuchukulia mchezo mchezo for granted hasa kwenye chakula. Waswahili wengi hatujali hasa mtu akikuambia ana allergy ya chakula flan tunadhani ana ringa ama anajifanya.

Kuna watu wana allergy ya bidhaa zote za maziwa dairy products yani akila tu anaweza kufa. Mwengine ana allergy na nyama na kadhalika. Bongo mtu akikuambia ana allergy na dagaa atasemwa sana eti anaringa.

Jana mmama flan kazini karibu afe baada ya kula cheese kwa bahati mbaya. Kila siku asubuhi kabla aanze kazi upitia jikoni na kuuliza chakula gani na atengewe. Kwake ni marufuku bidhaa yoyote au chakula chochote cha maziwa. Kwa bahati mbaya alikula cheese alianguka na kutetemeka karibu afe.

Mtu yeyote akikuambia ana allergy ya kitu flan usimdharau awe mtoto wako ndugu mwanafamilia n.k hii makitu very serious mtu anaweza kupoteza maisha hivihivi kizembe.

Pia kunawengine wana allergy na pets paka na mbwa etc.

Zamani kidogo nakumbuka dogo flan Arusha ana allergy na nyama tukawa tunamtaniaga sana jamaa hana bahati.
 
Back
Top Bottom