plock
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 446
- 474
Hili tatizo nilikuwa nayo nilikuwa bila kufanya hivyo kujitayarisha kwanza siwezi ila nakumbuka nilimeza cetirizine kwa muda wa miezi miwili na madawa mengine pia ikaja ikapotea nilienda hospital ipo magomeni mwembe chai panaitwa ekenywa ndio tatizo hilo liliisha ila la pua kuziba niliambiwa ni allerg na kweli nikiacha hivyo baadhi ya vyakula kama nyanya na maziwa kwa muda mrefu nakuwa katika hali nzuri.Jaribu kuchunguza kinywani tatizo hilo linasababishwa na kuota kinyama juu ya ulimi kinaotea kwenye ulimi juu.
Ukikiona hicho nitafute nitakuelekeza dawa kitapona utumie huenda ikasaidia.