Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Duuuh pole Sana ndugu yangu mi ndo Mara yangu ya kwanza kuckia Allergy ya ngano. Inabidi utafute tiba madhubuti kwa sababu maisha yetu ya kiswahili vyakula vyenye ngano ndo rahisi kupatikana. Mungu akujalie upate tiba.
 
Mi nilijua ukila vinakuletea matatizo fulani ya kiafya kumbe hutaki kabisa kutia hivyo vyakula mdomoni. PAMBANA NA HALI YAKO TU
Ndio maana nika tumia neno Allergy.. Which means kuna effects baada ya kula... Au neno Allergy huli jui?
 
Duuuh pole Sana ndugu yangu mi ndo Mara yangu ya kwanza kuckia Allergy ya ngano. Inabidi utafute tiba madhubuti kwa sababu maisha yetu ya kiswahili vyakula vyenye ngano ndo rahisi kupatikana. Mungu akujalie upate tiba.
Shukran! ipo allergy.. Kabla nili wai kudhani nipo peke yangu.. Ila nilisha kutana na watu kama wawili hivi wenye shida kama yangu....
 
Habarini wana jamii wenzangu,

Mwenzenu nina tatizo hatari la allergy ya nyuki, niking'atwa na nyuki mmoja tu navimba mwili nzima. Nakumbuka niling'atwa na nyuki wawili tu ikanipelekea kulazwa hosptali.

Je, nifanyeje nitibu hii allergy?

Je, kuna wenye matatizo kama hili langu la allergy kali ya nyuki?
 
Huko hospitali ulikolazwa walikutibu na dawa gani?
 
Kuna khaja ya kuwafuata hao nyuki ikiwa ulisha jua wana madhala kwako
 
Ulishawahi kufa kwa kung'atwa na nyuki wawili? By the way, mimi huwa nina test immunity mwilini yangu kwa kung'atwa na nyuki.
 
Pole sana ila wewe ni mmoja kati ya binadam wazembe duniani
 
Inaonekana unajichubua sana wewe!
 
Sasa nyuki tu unalazwa,je ukikatwa na nyoka hata wa kawaida(mwenye sumu sio kali) si ndio utapelekwa ICU?
 
Ndugu acheni kumletea utani mwenzenu; Hivi mnazijua kweli "Allergic reactions" au mnaleta utani tu? Mtu akiomba msaada, msaidie na sio kumkejeli. Hakuna kitu kidogo kwenye afya ya mtu, walio kwenye "medical field" watanielewa.
 
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom