Matatizo ya Ndoa ni ya kutatuliwa kwenye ziara za Waziri Mkuu?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Screenshot_20260519-133249.png

Haya ni matatizo ya level za Waziri Mkuu? Au ndio kusema matatizo ya kitaifa yameisha?
 
Ktk kitu baadhi yetu wanaume tunakosea ni kuwadharau wake zetu waliotuvumilia kipindi tukiwa chini,japo hii inaweza kuwa story ya upande mmoja but ni mambo yapo yanatokea.

Hakuna kitu kizuri dunia hii kama kufurahia mafanikio yako na mliotoka wote chini hasa anapokuwa mke.
 
View attachment 3591258
Haya ni matatizo ya level za Waziri Mkuu? Au ndio kusema matatizo ya kitaifa yameisha?
Gentleman,
kwasababu waziri mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ni kiongozi wa wananchi wote, lakini pia ni mzazi, ni mtu mzima, ni mtu mcha Mnungu na mtu nyenyekevu sana mwenye maarifa na maono ya mbali, anao uwezo wa kutatua kila changamoto ya mwananchi anaemuongoza,
iwe ni changamoto binafsi au ya jumla, waziri mkuu Dr.Mwigulu anaitatua bila ubaguzi wala mbambamba yoyote ile.

Na kazi kubwa ya kiongozi ndugu zangu, ni kuonyesha njia kwa mifano, maneno na matendo, na sio kuropoka ropoka tu na kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya viongozi, kama wanavyofanya wengine

So,
ikiwa umedhulumiwa kiwanja chako binafsi, au mkeo kakupiga makofi au kukunyima haki yako,
basi waziri mkuu Dr. Mwigulu Nchemba, anaweza kukupa ushauri, mbinu na msaada kadiri iwezekanavyo ili kutatua kila changamoto inayomkabili mwananchi wake.

Well done PM, Dr.Mwigu Nchemba
 
Ktk kitu baadhi yetu wanaume tunakosea ni kuwadharau wake zetu waliotuvumilia kipindi tukiwa chini,japo hii inaweza kuwa story ya upande mmoja but ni mambo yapo yanatokea.

Hakuna kitu kizuri dunia hii kama kufurahia mafanikio yako na mliotoka wote chini hasa anapokuwa mke.
Uzoefu wangu kwa hawa mamazetu ni kwamba.... ukija kumuona mwanamke amepeleka mambo ya ndoa kwenye media na haini haya basi ujue huyo mwanamke ni wakumuacha kwa gharama yeyote no matter what
 
Gentleman,
kwasababu waziri mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ni kiongozi wa wananchi wote, lakini pia ni mzazi, ni mtu mzima, ni mtu mcha Mnungu na mtu nyenyekevu sana mwenye maarifa na maono ya mbali, anao uwezo wa kutatua kila changamoto ya mwananchi anaemuongoza,
iwe ni changamoto binafsi au ya jumla, waziri mkuu Dr.Mwigulu anaitatua bila ubaguzi wala mbambamba yoyote ile.

Na kazi kubwa ya kiongozi ndugu zangu, ni kuonyesha njia kwa mifano, maneno na matendo, na sio kuropoka ropoka tu na kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya viongozi, kama wanavyofanya wengine

So,
ikiwa umedhulumiwa kiwanja chako binafsi, au mkeo kakupiga makofi au kukunyima haki yako,
basi waziri mkuu Dr. Mwigulu Nchemba, anaweza kukupa ushauri, mbinu na msaada kadiri iwezekanavyo ili kutatua kila changamoto inayomkabili mwananchi wake.

Well done PM, Dr.Mwigu Nchemba
Unatom.....bwq
 
Back
Top Bottom