Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Jul 6, 2010 #1 Wadau Mimi ninakutana na shida ya net work kukatikakatika au wakati mwingine hata kuwa slow na kutopatikana. Na habari toka kwa ISP wangu TTCL nasikia ni shida inayoanzia kwa Seacom. Je kuna mtu mwingine anakutana na shida kama yangu?
Wadau Mimi ninakutana na shida ya net work kukatikakatika au wakati mwingine hata kuwa slow na kutopatikana. Na habari toka kwa ISP wangu TTCL nasikia ni shida inayoanzia kwa Seacom. Je kuna mtu mwingine anakutana na shida kama yangu?
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 Jul 6, 2010 #2 Mimi pia nimekumbana na tatizo hilo leo kuanzia saa 9 aubuhi hadi saa 4 jioni ya leo...ila mimi na tumia simbanet
Mimi pia nimekumbana na tatizo hilo leo kuanzia saa 9 aubuhi hadi saa 4 jioni ya leo...ila mimi na tumia simbanet
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Jul 6, 2010 #3 vodacom.....NO...mambo bwerere
Tausi Mzalendo JF-Expert Member Joined May 23, 2010 Posts 1,470 Reaction score 722 Jul 6, 2010 #4 toka jana mambo ni mabaya mno!!