Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Wadau
Mimi ninakutana na shida ya net work kukatikakatika au wakati mwingine hata kuwa slow na kutopatikana. Na habari toka kwa ISP wangu TTCL nasikia ni shida inayoanzia kwa Seacom. Je kuna mtu mwingine anakutana na shida kama yangu?