Habari wanajamvi. Naombeni ushauri,mwili wangu hua unajoto ambalo nahisi alipo kwenye level yake, kwani hata marafiki na ndugu zangu ua wananishangaa sana. Mie ni mweupe lakin kama nikitembea juani nakua kama mwekundu hivi, pia hata mtu akinishika kwa nguvu au kwa dakika chache alama zinabaki. Na znachukua muda mrefu kuisha. Pia uamwili unaniwasha sana. Sijui ninamatatizo gan. Nilisha endaga hosptali kama dawa nimetumia sana