Matatizo ya Nissan Wingroad...

Matatizo ya Nissan Wingroad...

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
kama kichwa kinavyojieleza.... je wadau hiz gari zina matatizo gani ikiwa yapo maana nimeiona moja nikaipenda na nimetamani kuiagiza. as soon as nikiambiwa hazina tatizo. ni ya mwaka 2007 inasoma CC 1780. ingawa naona nyingi ni cc 1480.
 
Hizo gari zina sura mbaya hatariiii,all the best
 
Back
Top Bottom