Sodoku JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,271 Reaction score 2,903 Oct 13, 2017 #1 kama kichwa kinavyojieleza.... je wadau hiz gari zina matatizo gani ikiwa yapo maana nimeiona moja nikaipenda na nimetamani kuiagiza. as soon as nikiambiwa hazina tatizo. ni ya mwaka 2007 inasoma CC 1780. ingawa naona nyingi ni cc 1480.
kama kichwa kinavyojieleza.... je wadau hiz gari zina matatizo gani ikiwa yapo maana nimeiona moja nikaipenda na nimetamani kuiagiza. as soon as nikiambiwa hazina tatizo. ni ya mwaka 2007 inasoma CC 1780. ingawa naona nyingi ni cc 1480.
popoma JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 2,378 Reaction score 3,363 Oct 20, 2017 #2 Bila picha mkuu??
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Oct 21, 2017 #3 Hizo gari zina sura mbaya hatariiii,all the best