Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Nenda duka la sawa za asili ..wanayauza sana.....OK hayo mafuta yanapatkana maduka yap?
Cjazaa, ctumii uzazi WA mpango, Nina 30yrs natafta mtoto ila kutokana na hayo maumiv inakuwa shida Ku conceive maana Mara nying nakuwa kwenye dozeNenda duka la sawa za asili ..wanayauza sana.....
Dada ,,, kwanza umezaa au ,?? Unatumia njia za uzazi mpango au ??? Unaumri gan ??? Kama unaona aibu kujibu hapa ..nijibu PM .
Joint/kiunganisho cha miguu/sehem ya chi ya mwili na sehemu ya juu ya mwili/kuanzia kiuno kwenda juunyonga ni eneo gani?
Ila cjaona ujumbe wako huko pm
Pole sana mkuuu sasa hapo ndipo tatizo unaliwaka wazi zaidi .Cjazaa, ctumii uzazi WA mpango, Nina 30yrs natafta mtoto ila kutokana na hayo maumiv inakuwa shida Ku conceive maana Mara nying nakuwa kwenye doze
nyonga ni eneo gani?
Hayo ndo yananikuta mimi mguu wa kushoto unauma siwezi kutembea kesho mapema sana naenda hospNtinginywa dia,pole sana. Kuumwa kwa nyonga wakati wa ujauzito n common kwa akina mama wengi. Mimi niliumwa sana na ikafikia wakati nikawa cwezi hata kugeuza mguu kitandani. Nilitembea hosp kwa gynae na kumpigia cm mpaka ikafikia muda akawa anacheka tu na kuniambia " vumilia tu mdogo wangu". Aepuke matumizi ya dawa kwani c nzuri kwa afya ya mtoto aliye tumboni. Pia apate muda mwingi wa kupumzika ackae sana.