Matatizo ya nyonga na mifupa

Matatizo ya nyonga na mifupa

OK hayo mafuta yanapatkana maduka yap?
Nenda duka la sawa za asili ..wanayauza sana.....

Dada ,,, kwanza umezaa au ,?? Unatumia njia za uzazi mpango au ??? Unaumri gan ??? Kama unaona aibu kujibu hapa ..nijibu PM .
 
Nenda duka la sawa za asili ..wanayauza sana.....

Dada ,,, kwanza umezaa au ,?? Unatumia njia za uzazi mpango au ??? Unaumri gan ??? Kama unaona aibu kujibu hapa ..nijibu PM .
Cjazaa, ctumii uzazi WA mpango, Nina 30yrs natafta mtoto ila kutokana na hayo maumiv inakuwa shida Ku conceive maana Mara nying nakuwa kwenye doze
 
Cjazaa, ctumii uzazi WA mpango, Nina 30yrs natafta mtoto ila kutokana na hayo maumiv inakuwa shida Ku conceive maana Mara nying nakuwa kwenye doze
Pole sana mkuuu sasa hapo ndipo tatizo unaliwaka wazi zaidi .

Nitakufata PM.
 
nyonga ni eneo gani?

Mkuu, heshima kwako.

[HASHTAG]#missnatafuta[/HASHTAG] asante kwa kuja!

Msaidieni mwanamke mwenzenu au mpeni maelekezo kuhusu hospital, doctor au mahala pa kupata matibabu.
 
Hellw jmn naomba kusaidiwa mama angu anasumbuliwa sanaa na maumivu ya nyonga na xley imeonesha kwmb mifupa yake imepekecha sasa imefka hatua anapata maumiv makali sanaa mpk inapelekea kutembea huku ameinama... Jmn kama kuna dawa unaifaham naomba unisaidie
 
Ntinginywa dia,pole sana. Kuumwa kwa nyonga wakati wa ujauzito n common kwa akina mama wengi. Mimi niliumwa sana na ikafikia wakati nikawa cwezi hata kugeuza mguu kitandani. Nilitembea hosp kwa gynae na kumpigia cm mpaka ikafikia muda akawa anacheka tu na kuniambia " vumilia tu mdogo wangu". Aepuke matumizi ya dawa kwani c nzuri kwa afya ya mtoto aliye tumboni. Pia apate muda mwingi wa kupumzika ackae sana.
Hayo ndo yananikuta mimi mguu wa kushoto unauma siwezi kutembea kesho mapema sana naenda hosp
 
Back
Top Bottom