Hello wana JF!
Hivi matatizo ya wakulima wa miwa huko mtibwa mbona huwa ni kitendawili kisichoteguka? Akienda Mkuu wa nchi hana majibu, mkuu wa mkoa, yale yale, mawaziri hamna kitu. Huko kulikoni? Nasikia Muwekezaji halipi kwa wakati, pesa anawapa kidogo mpaka wanashindwa kuendeleza zao hilo. Ebu jamani kuna mdau mwenye uelewa kulikoni huko?
Dakawa anaendelea kupanua mashamba yake muwekezaji. Kwa nini aongeze mashamba yake na miwa ya wakulima ipo? Nini hasa ufumbuzi wa matatizo ya wakulima? Nini wafanye? Hakuna kweli ufumbuzi?That alternative could be the best...however, are the cans enough to run more than one factory in the same place? Pili, iliyokuwa Dakawa Ranch, sasa hivi amechukua nani? NAFCO Dakawa inamilikiwa na nani? In the past, the capitalization in the area was massive. kama kawa, sisi tunaorithi we are not visionaries. We kill everything, kama Gen. Ariel Sharon
Hivi hakuna uwezekano wa kuanzisha kiwanda kingine karibu na Mtibwa? Nasikia wakulima wa miwa wa kenya wanaendesha mercedes benz tokana na kilimo hicho hicho cha miwa.