Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Nadhani kila moja anajua kama dunia sasa imekuwa kijiji kwa kuunganishwa na simu . yani mitandao ya kijamii (social media).
Na sijui niseme uzuri au ubaya wa mambo humu kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na makundi ya watu wa aina mbalimbali . na makundi hayo yanazalishwa na kutoka na ulewa tofauti wa kiakili na uchanganuzi wa jambo/ Mambo.
Mfano : mtu atapost jambo lenye manufaa tu lakini kuna atakuja kureact negative. na huyu mtu kila ukijaribu kumuelewesha hataki kuelewa hata kama ushahidi teyal ushampa.
Ubaya wa mambo sasa kuna watu wao hawakosei na wengine wanakuchagulia upande wa kuishi yani wanakuweka wewe uwe shabiki wa kundi fulani.
Sasa ole wako siku usifie ule upande ambao wao wamekutoa hata kama hiyo sifa ni ya kweli basi watakushambulia balaa. Jamani tusipangiane maisha japo ni vizuri kueleweshana pale tu tunapokea au kutoka nje ya mstari.
Pia, tuna kasumba moja ambayo ni mbaya sana kwenye jamii yetu.
Imefikia hatua mtu akioji kitu anaonekana ana wivu?
Mchonganishi?
Mpinzani au hapendi maendeleo?
Kuhojo si kupinga ila ni kutaka tu kupata majibu kutokana na maswali aliyonayo anaehoji.
Tuwe na open mind itatusaidia sana.
NI MUDA WA KUBADILIKA SASA KAMA KWELI TUNAHITAJI ELIMU NA MAFANIKIO.