Matatizo yanayotusumbua kwenye hii nishati mbadala

Matatizo yanayotusumbua kwenye hii nishati mbadala

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habari zenyu jf nafikiri wote ni wazima na vile vile poleni kwa wale wenye matatizo kwani matatizo ni sehemu ya maisha! Tatizo langu ni kuhusu hii nishati mbadala yaani umeme wa jua.nimefunga solar ya watt.80 bettry N.80 inverter ya watt.500 pamoja na charger control lakini charger control inakuwa kama haiwezi kuhimili umeme unaotoka kwenye inverter hali inayopelekea kuungua sasa nakumbeni kwa wanaofaham je naweza ku2mia huu bila charger control?ahsanteni sana
 
Pole sana, ukiiweka hii kwenye jukwaa la teknolojia utapata ushauri mujarabu...
 
Back
Top Bottom