Matatizo yanayozikumba hizi Suzuki Carry

Matatizo yanayozikumba hizi Suzuki Carry

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
7,723
Reaction score
7,408
Msaada :: Kwanza habari za shughuli ndugu zanguni nataka kusaidiwa izi gari zimekuwa na matatizo mengi ikiwepo ya kuungua Pump. Yaani zinaungua sana ktk Pump
 
Msaada :: Kwanza habari za shughuli ndugu zanguni nataka kusaidiwa izi gari zimekuwa na matatizo mengi ikiwepo ya kuungua Pump. Yaani zinaungua sana ktk Pump
Mkuu me ipo ya 1997 hapa sijawah pata shida nayo yoyote kubwa since 2013 na inakula mzigo mnooo...
 
huwa ni gia ngap ? spid ya mwish je kwa mwenye uzoefu nayo
 
Nyingi zina gia 4. Lakini Kuna nyingine zina 5. Speed 120. Mafuta 17Km/litre
 
Hii gia 5,, reverse na EL (Extra Low) kwa ajili ya 4WD na speed 120km/hr
 
Zile zimetengenezwa kwa ajili ya kubeba maboksi na mifuko midogo. Lakini bongo ukienda pale Mabibo Mahakama ya ndizi vinapakia mzigo ikifika miezi 6 kimekufa
 
Back
Top Bottom