Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Free will is a fraud.
Mtu ambaye kaua na anataka kurudi nyuma katila muda ili ajirudi asiue na yule aliyemuua aendelee kuishi ana free will gani ya kufanya hivyo?
Kama mungu yupo na anapenda sana kuwapa watu free will, mbona hakitupa free will hiyo?
Na kama yupo na hakutupa hiyo, kweli tuna free will?
Kuna watu wanezaliwa na genes zinazowalazimisha kuwa namna fulani, hapo kuna free will?
Wale watoto wanaouawa kwa natural disasters wana free will gani ya kifanya maamuzi ili mabaya yasiwakute?
Wewe ulichokariri huwezi kunifunza kutoka kwacho. Atheist mnashabihiana kitu kimoja. Uwezo wa kukariri pasipo kuhariri na kuamini katika kariri zenu kwamba kuna ujuzi.
Umechokwa kwa kuwa hufundishiki hata ukifundishwa Una default position ambayo tuki log off unarejea kwayo.
Nani unamtisha na imani yako ? Hata ujisumbue kwa Mungu wangu ?