Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

Joined
Oct 23, 2022
Posts
97
Reaction score
99
Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza.

Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu.

Watu wao wako very seriously linapokuja swala la mambo muhimu tofauti na watanzania waliokaririshwa kiingereza hadi masomo.

Chukulia mfano Zambia, Kenya n.k.
 
unato wewe...zambia na malawi wanaongea english but hakuna chochote
 
Bila kusoma ulichokiandika, naunga mkono moja kwa moja hoja yako. Wanaohimiza kiswahili kitumike mashuleni wamewapeleka watoto wao International Schools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…