Mafisadi unawajua weye?
Mwanamasala, you're right on your points, hawa CCM hawahitaji London au UK katika strategy you kushinda Uchaguzi Tanzania, wala hawahitaji wanachama wa UK ili wawasaidie katika kampeni. You're forgetting that CCM need money for next year election, kada wao mkuu mmoja alishasema wanazombinu nyingi sana za ksuhinda uchaguzi na they haven't exhausted all; you just forgot one point; this can be one way of creating an infrastructure for money laundering, dirty money to come in direct to CCM; CCM is among the Mafias! Dirty!!Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester.
Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi fund kwa ajili ya kuendesha shughuli hizi za kichama.Isiwe wanachotewa hela za walipa kodi wa Tanzania.Wanavaa hata magwanda ya kijani na njano!u cant believe mtu wa Ulaya ku behave hivi ,nafikiri wengi wao may be wanataka kugombea chochote warudipo tanzania.Bado wana uswahili wa kibongo,most of them hata kiingereza hawawezi kuongea vizuri japo wapo kwa muda hapa!
Kwa habari zaidi,google CCM london then utapata website yao.
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza...
sikia Mkuu kwa tarifa zenu na tarifa za kuaminika tulizonazo hapa jiji Dar, inasemekana wengi wao wameripuwa na kutambulika kama waburundi ,wasomali ,wasudani ,wazimbabwe Nk na wengine ndio wapo mitini ,sasa hayo matawi ya CCM ni chaka lao, kwanini wanafanya hivyo wao ndio wanaelwa ukweli ,na kwa kufikiria kiharaka labda wanajaribu kujiwekea kinga pale patakapo tokea matatizo upande wao chama kiwasaidia wasije kukumbana na sheria hapa bongo kwa kusema hawa walikuwa wanachama wetu wakikitangaza chama kule kwa wafadhili wetu.
Hi!You are killing forum!
This is new input and interesting,hakuna atakayefutilia!!
Nadhani Idea ya CCM ni kuwa hawa jamaa waje kupiga kura, well this is good to them , politics is a game.Kama kuna uwezekano wa CHADEMA n.k kufanya the same, then this is high time to do so. Kukaa chini na kulalamika hakusaidiii, dawa ya moto ni moto!
Nono,Huko nje bwana kuna watu wa aina nyingi na wenye malengo yaliyo tofauti sana.
1. Kuna watu ambao walikwenda kwa mialiko ya kishikaji baada ya maisha kuwa tafu hapa home. Hawa wengi wao waliishia kujilipua kuwa ni warundi n.k
2. Kuna watu waliokuwa na mategemeo makubwa hasa kimasomo na kilichowapeleka majuu ni kuipata hiyo. Miongoni mwao wapo waliosongwa na mitikasi na kushitukia mambo sivyo kama walivyodahani, wameishia kubeba box wakiwa na mategemeo kuwa siku moja jambo litakuwa ndilo. Wengine walifanikiwa kupandisha shule, lkn wakapata opportunity huko huko, na ndio tunaowaona wachache wakifika Tz, japo mara chache chache
3. Wapo walioandaliwa kuwa Tanzania ni mradi wao, hivyo hawa walipelekwa kwa nia ya kwenda kujionoa ili warudi kuja kuchukua madaraka. Hawa mida mingi mambo yao yako mchongo, na ndio wanaoshiriki kuhamasisha wenzao sio kwa madhumuni ya kumbadilisha mtanzania, ila ni kujiimarisha asijekuwa nje ya mfumo. Si unajua tena kuonana na viongozi wa kitaifa sio ishu hasa mnapokuwa wachache? Hawa wanawatumia WaTz wenzao ughaibuni kama daraja la kujenga cv zao. Vinginevyo, matawi na wanasiasa wenye nguvu ni wale waliopo nchini! Kwa hiyo wafungue hata matawi elfu, sio tija sana!
Nono,
Umeitoa inavyotakiwa; Spot on.
Hi!
Can you recollect ethical practices please! It shouldn't be the matter of emulation, copying or replication, but ethical politics, period.
sijaona bado mtoto wa fisadi hapo juu au majina yanaendelea!!!?
wajue viongozi wako wa tawi la ccm uingereza:
Mwenyekiti :maina owino
katibu :susan mzee
katibu-uchumi na fedha :alan kalinga
katibu-siasa na uenezi :moses katega
kama mtu anajua hawa wamejilipua au baadhi ya wanachama ,tuwafahimishe wasomaji wote wa jf ,tuone hypocrisy zao!
Kigumu chama cha mapinduzi!
kwa hao hapo juu, mkuu usipoteze muda wako, wote wako kihalali huko united kingdom na hawajajilipua, ni watanzania halisi, unaposema "au baadhi ya wanachama" .......ooopss!!! Hilo sina ufahamu