Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nyie mademu huwa mkisikia jambo mnalibeba hivyo hivyo. Na demu wangu naye huwa kila mara anatumia hiii kauli. Anyway Yanga tupo vizuri zaidi.. njoo huku ufurahSijui ni macho yangu,...ila SIMBA ufundi wa kocha kuitengeneza clear chance Bodo ni mdogo.....
Wakifika golljni wanafungua kwa uwezo binafsi zaidi