MATCH DAY: Simba SC vs Coastal Union FC | Ligi ya NBC | Major General Isamuhyo | 02.04.2026 | Saa 1 Usiku

Mbungi inapigwa muda gani. Simba piga kazi una point sita za kosto na Azam. One point to utopolo.
 
Nalitakia Ushindi Chama langu la Msimbazi Dhidi ya ndugu yetu Coastal Union FT 5-0
 
Sijui ni macho yangu,...ila SIMBA ufundi wa kocha kuitengeneza clear chance Bodo ni mdogo.....
Wakifika golljni wanafungua kwa uwezo binafsi zaidi
 
Sijui ni macho yangu,...ila SIMBA ufundi wa kocha kuitengeneza clear chance Bodo ni mdogo.....
Wakifika golljni wanafungua kwa uwezo binafsi zaidi
Nyie mademu huwa mkisikia jambo mnalibeba hivyo hivyo. Na demu wangu naye huwa kila mara anatumia hiii kauli. Anyway Yanga tupo vizuri zaidi.. njoo huku ufurah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…