Match fixing, kuna ukweli wowote

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Hii ishu ya watu online kusema kua wanadeal na kuuza mechi zilizopangwa matokea kwa ajili ya betting(wazee wa mikeka) inaukweli wowote?

Angalia mfano kama huyu mtu yeye nimeona sahivi ticket ya 3 ya Correct Score za bet365 zote zinatiki,ukimuuliza anasema anaziuza kwa 100€ na ni hakika inajibu,total rate kama ya 500 hivi!

Nafahamu kua zipo cartels kabisa zinazojihusisha na frauds za aina hii,ila sikufikiria wanaweza wamefika mpaka "grassroots".
Vipi kampuni za bongo,msiache kufuatilia ishu kama hizi kwani ni balaa.

NB;
Wazee kwani 100€ si unaweza ipata ukatusua mihela??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo sana hasa Eastern Europe na Asia.

Inawezekana huko Asia na Europe zipo...Lakini kwa Tanzania ninao uhakika zaidi na ushahidi....Ligi Kuu ya Tanzania Bara ni rushwa mtupu...rushwa inahusisha wachezaji, marefarii, makamisa na viongozi pamojana mashabiki au wanachama wa klabu...Yaani ni rushwa mtindo mmoja...ndiyo maana tukienda nje tunachapwa 5 na kuendelea...
 
Tunaomba ushahidi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ticket ya paun 100 inakuwa mkeka ambao ushachezwa au ni tip?
 
Tunaomba ushahidi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushahidi siwezi kukupatia humu...ukitaka tutafutane...hivi unapoambiwa kuna watu wampira unadhani ni kitu gani ...kuna wachezaji wawili wa timu moja kubwa walirekodi mazungumzo na kionozi wa timu nyingine akiwaomba wacheze chini ya kiwangona kuruhusu mabao...wachezaji hao walipeleka mazungumzo hayo kwa viongozi wao...kilichoendelea wanajua watu wenyewe wa mpira....usipomuona refarii wa ligi, mtafungwa magoli ya offside mpka mkome, au mnaweza mkakataliwa goli kwa offside hewa....
 
Mkuu hii inshu inahusisha mtandao mpana sana zaidi ya unavyodhani..usitegemee kwa mtu tu "local" ajue kinachoendelea..kuna high rank officials ndio wanachanga karata zao na kuwashirikisha "wajanja" wachache wenye "kifua"...
 
Mkuu hii inshu inahusisha mtandao mpana sana zaidi ya unavyodhani..usitegemee kwa mtu tu "local" ajue kinachoendelea..kuna high rank officials ndio wanachanga karata zao na kuwashirikisha "wajanja" wachache wenye "kifua"...
Kuna documentary moja iko YouTube ni nzuri sana itakufungua na kujua mengi sana juu ya hii biashara yenye mkwanja mpana. Hawa jamaa wana stake 6 figure... Mabilion ya pesa.
But ulaya ishu iko very simple kufix matokeo sababu hadi amateur league zipo kwenye betting fixture za kampuni nyingi.
Kuna Mhindi mmoja huyo kashindikana yeye anafix hadi mechi za UEFA na World cup but cartel mkubwa anaefinance anatoka Singapore.
Ile documentary imefukua mengi sana na wenyewe waliokuwa wanapanga mechi ndio waliokuwa wanasimulia unyambisi waliokuwa wanaufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dejavu nipe link nicheck Cartel wanavyomake pesa...
 
Sio tips,ni match ambazo zimepangwa matokeo,mara nyingi ni "tips" za correct score

Sent using Jamii Forums mobile app
Amateur league za Germany, Ukraine, Cyprus, e.t.c watu wanapanga matokeo kila leo na cartel wanapiga megga profit hadi ulaya inafikiria kuzuia haya makampuni yasiziweke hizi mechi kwenye betting fixture zao sababu hawa watoto wanapewa hela kubwa wakiwa wadogo sana na kuua talents zao.
Vipi Huyo jamaa yako ni mkweli au miyeyusho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo documentary inaitwaje?so inawezekana kabisa watu kadhaa kuvujishiwa hizi taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hiyo stake ni changamoto kidogo,kama nikipata mtu wa kushirikiana naye hakuna noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…