Match Fixing: Mamelodi inataka kuwabeba Al Hilal ili wasije kukutana na Al Ahly huko mbeleni

Match Fixing: Mamelodi inataka kuwabeba Al Hilal ili wasije kukutana na Al Ahly huko mbeleni

Na game ndo inakwisha kwa drawa,ibenge anasonga kwa point 11 na msouth anaenda kumalizana na coton
Ana point 10 Al Hilal na mechi na Al Ahly akifungwa goli kwa tofauti ya mawili basi wanatolewa
 
Wanachokifanya Mamelodi leo hata wanavyocheza ni wazi kabisa wanataka kuipa Matokea mazuri Al Hilal.
Goli la kwanza la Mamelodi ni la bahati mbaya tu lakini wakaamua kuwazawadia wasuda goli la kusawazisha kiboya kabisa.

Ubora wa kipa wa Mamelodi na beki zake si wa kufanya Uzembe huu. Inaonekana Gari la Mwarabu limeshawaka sasa imeanza kuwatisha wasauzi. Hii ni match fixinga ya wazi kabisa. Sijajua hiyo Sare itakuwaje (labda kama watawazawadia lingine) lakini Mwarabu anataka kwenda kutoa adhabu kali sana kwa msudan. Mamelodi wanaharibu ladha ya soka aiseee. Na sidhani kama bosi ambae ndo mkuu kule CAF kama atasema kitu

Africa ni shida sana.
Mbona mnaendekeza kulia Lia?
 
Ukumbuke kuna M-bongo mwenzetu hapo IBENGE wewe acha akiwashe japo kweli wamebebana ata ingekua wewe
 
Back
Top Bottom