Haya sawa dada kumradhi kwa Hilo la demuBadili kauli niite dada sio demu huna adabu [emoji3] [emoji3]
Kwani uzi wenyewe unasemaje mbona mnapanick
Embu Toka huko hatuna mashabiki was hvyo Kam wew ,yaani unaaungana na Simba kuihujumu yanga kuwa ili fix match ?Mimi ni Yanga ila kuna wachezaji wa Singida Jana walikula pesa..Goli la tatu la Kibwana shomari linaongea yote, Winger Dario da Silva anamuangalia Mayele na kumsindikiza bila kukaba hadi anatoa assist kwa Kibwana Shomari halafu anajifanya analalamika..Haihitaji jicho la ziada kuona hilo tukio...Liangalieni lile goli na kama wewe si shabiki maandazi utaelewa pale kulikuwa kuna kitu
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sawa ndiyo maana nikasema kama una ushabiki maandazi utabisha..Kaangalie hilo goli tena halafu come back comment hapa..For the love of football lazima uangalie Mpira kama mpira..All in. All possession wise na kucheza Yanga tulikuwa sayari nyingine na hata wachambuzi walisema mmoja wao..This has been our game kwenye kila match possession on average ni 70%+...Nyie ndiyo mtasema ile penalty tuliyopewa mechi 3 zilizopita kama sikosei ilikuwa sawaa wakati it was clear ilikuwa nje ya penalty box..Kwenye ukweli muongeeEmbu Toka huko hatuna mashabiki was hvyo Kam wew ,yaani unaaungana na Simba kuihujumu yanga kuwa ili fix match ?
Simba alimtwanga mtibwa 5 bila kimya
Yanga imemtwanga mtoto wake 4 moja mnaanza kuleta story za kipuuzi
Hakika nawambieni mtateseka Sana msimu huu yanga Ni Bora mmeona wenyewe huko Tunis TULICHOMFANYA na hakun wa kutuzua hapa nchini tutawapiga wote mechi 90 bila kufungwa unbetten
Safi san mtani. Mimi sijui bwana atajijua mwenyeweHaya sawa dada kumradhi kwa Hilo la demu
Haya niambie muuza ngada anafikishwa lini mahakamani[emoji41]
Tutolee nadharia zako hapa nenda na ushahidi TFF ukafanyiwe kazi .Mashabiki maandazi wote nawapa hii nyingine ya Simba alivyowafunga Kagera Sugar msimu wa 2019-2020..Match ilikuwa level on the score board lakini ghafla dakika ya 69 kocha Meki Mexime anampa maelekezo mchezaji wake on their own half kuwa "Atupele kubaya huko kubaya huko" As a sign,then ghafla mchezaji anabadilisha muelekeo na kujifanya kapoteza mpira akaunasa John Boko..Halafu angalia walivyokuwa wanakaba baada ya hapo.Hadi Ndemla anafunga goliMatch fixing ipo ila unahitaji kuangalia mpira kwa jicho kali zaidi kuweza kujua..Ninashindwa kupload video ila nikiweza nitaishusha hapa ili muone
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Okaaay nimekuwekea video boss..Tafadhali angalia kabla ya kuwa na mihemuko..Football is life kwa wengine...Juzi hapa Mourinho kamtimua mchezaji wa As Roma na kaongea kabisa kuwa mchezaji hatokuwa kwenye timu baada ya kufanya ujinga..Alikuwa hakabi na hadi goli linafungwa alikuwa anaangalia tuu na alipoteza mpira Yeye..Jina ni Karsdop..Mkacheki mechi ile au highlights za goli vs Sassuolo na muone ninachoongea..Mnahisi tukiwa tunaongea hapa tunaongea kishabiki tuu ili tufurahishe watu au..Tutolee nadharia zako hapa nenda na ushahidi TFF ukafanyiwe kazi .
Yaani we uamke tu na vimawazo vyako ndo tufanye conclusion hapa?
Nimeangalia video na nimeona ni kitu cha kawaida kabisa kutokea uwanjani labda kama ndo umekiona kwa mara ya kwanza.Okaaay nimekuwekea video boss..Tafadhali angalia kabla ya kuwa na mihemuko..Football is life kwa wengine...Juzi hapa Mourinho kamtimua mchezaji wa As Roma na kaongea kabisa kuwa mchezaji hatokuwa kwenye timu baada ya kufanya ujinga..Alikuwa hakabi na hadi goli linafungwa alikuwa anaangalia tuu na alipoteza mpira Yeye..Jina ni Karsdop..Mkacheki mechi ile au highlights za goli vs Sassuolo na muone ninachoongea..Mnahisi tukiwa tunaongea hapa tunaongea kishabiki tuu ili tufurahishe watu au..
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
unajichanganya mwenyewe...takukuru watakupa jibu wakimalizana na wauza ngadaKwa hiyo Yanga inahonga Marefa au inahonga timu pinzani, mnatuchanganya asee
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sijakat babu kuwa penety ile ilikuwa siyo Ni refa ndio kawapa yanga Wal yanga hawakumfata refa kulalamika kuhusu refa no refa kaborongaSawa ndiyo maana nikasema kama una ushabiki maandazi utabisha..Kaangalie hilo goli tena halafu come back comment hapa..For the love of football lazima uangalie Mpira kama mpira..All in. All possession wise na kucheza Yanga tulikuwa sayari nyingine na hata wachambuzi walisema mmoja wao..This has been our game kwenye kila match possession on average ni 70%+...Nyie ndiyo mtasema ile penalty tuliyopewa mechi 3 zilizopita kama sikosei ilikuwa sawaa wakati it was clear ilikuwa nje ya penalty box..Kwenye ukweli muongee
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kama nyie mnavyokuwa kuwa bize kufumuliwa marinda Kabwili fcWenzenu wanakua busy mazoezini ninyi mnakua busy kuuza ngada
Kipindi unabanduliwa 5 bilatimu yako mara ya mwisho kushinda mbele ya yanga ni lini
Hivo nyie mlipowapiga Mtibwa 5 bila. Na Mtibwa hao hao kuidindia Yanga, na Yanga kupata ushindi bahati 1 bila.Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.
TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Na kweli anakuwa analilia muamala uliopotea ghaflaMchezaji analia timu yake ikifungwa na simba, ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio muamala ni ninini
Kama ndivyo nani yupo mashindano makubwa hadi sasa kati ya Simba na Yanga ikiwa wao wana tu nzuri sana?Ifikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Uhuni ila wapo Makundi CLUkifiatilia mwenendo wa Simba tokea usajili utagundua tu uhuni mtupu, angalia sajili zao yaan kusajili mchezaji wa milioni 400 inakuwa ishu, angalia suala la makocha kuanzia kwa kocha wa makipa, viungo, kocha msaidizi, kocha mkuu hakuna usiriazi kabisa. Kunakauli moja ilishawahi tolewa na kiongozi mmoja wa yanga kuwa kama Yanga isipokuwa na mgogoro ndani ya klabu Yao ni ngumu sana kuchukua ubingwa n kuwafunga. Naanza kuiamini taratiiibu
kati ya mechi 47 bila kufungwa umechangia mechi 3Kipindi unabanduliwa 5 bila