Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa mahesabu ya krosi matiplikesheni maana yake prison ni wazuri kuliko makolo sio?
Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2Kwaio Prison imepata 5 na
Yanga wanapataga 5...
Hivyo, Yanga = Prison
Conclusion: Utopolo ni Level za Prison..!
Mwl wa Matheee .. hapa ni Wapi.?
mbwa mwingine huyu iyo timu yako NYUMA MWIKO imecheza mechi mbili na simba mwaka huu unaweza ukaniambia makeo yake?Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2