Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Match imemalizika muda mchache uliopita Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa Prisons ya Mbeya kuifunga Kipanga ya Nchini Zanzibar kwa goli 5 kwa 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mahesabu ya krosi matiplikesheni maana yake prison ni wazuri kuliko makolo sio?
Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2Kwaio Prison imepata 5 na
Yanga wanapataga 5...
Hivyo, Yanga = Prison
Conclusion: Utopolo ni Level za Prison..!
Mwl wa Matheee .. hapa ni Wapi.?
mbwa mwingine huyu iyo timu yako NYUMA MWIKO imecheza mechi mbili na simba mwaka huu unaweza ukaniambia makeo yake?Mbumbumbu lingine hili,timu yako imecheza na Kipanga ikawafunga 3-1 kwa moja, Prison kacheza na hao Kipanga kawafunga 5-2