Ushauri wako umekataliwaNashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
Thimba wanataka kuchelewesha kipigo kitakatifuHakuna kughairi kama kinapigwa na kipigwe tu,tujue panapovuja
Man Utd anacheza leo mechi ya ligi, alhamisi ana mechi na Barca na jumapili ana fainali ya Carabao na Newcastle Utd.Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
Sema match ya Simba tu.Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
Uko sahihi,ila Nina uhakika inaweza kuhairishwaMan Utd anacheza leo mechi ya ligi, alhamisi ana mechi na Barca na jumapili ana fainali ya Carabao na Newcastle Utd.
Hivyo basi haina mantiki kuhairisha mechi yoyote
Uvivu tu!!Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
Sasa unafananisha dunia ya kwanza na huku kwa hivi. Kule kuna miundombinu bora ya usafiri.Man Utd anacheza leo mechi ya ligi, alhamisi ana mechi na Barca na jumapili ana fainali ya Carabao na Newcastle Utd.
Hivyo basi haina mantiki kuhairisha mechi yoyote
Wanaogopa kupewa za kinyumenyume kama za RajaHaina haja ya kuharisha kwani iyo mechi si ni moja ya mazoezi au kipimo kwa timu husika mfano simba akicheza iyo mechi ndio inamuongezea ufanisi kwenye ligi ya mabingwa
Mkuu mbna siku hizi timu yako inapigwa sana mambo ya KIRINGE yamegoma?Sawa
Uganda kuna umbali gani?Tatuzo lenu mnapenda sana viporo.Sasa unafananisha dunia ya kwanza na huku kwa hivi. Kule kuna miundombinu bora ya usafiri.