Match Ya Simba na Azamu Ingeahirishwa

Match Ya Simba na Azamu Ingeahirishwa

Haina haja ya kuharisha kwani iyo mechi si ni moja ya mazoezi au kipimo kwa timu husika mfano simba akicheza iyo mechi ndio inamuongezea ufanisi kwenye ligi ya mabingwa
Halafu si wana kikosi kipana hawa mibumunda? Makocha wawili pia. Yupo yule yule kipupunge wa siku zote na huyu makeke mpya. Kama vipi wamchukue mshana jr awe mchawi wao
 
Uko sahihi,ila Nina uhakika inaweza kuhairishwa
Mi naungana nawe! Watu hapa, wanaiwazia Simba tu, labda ndio wenye kutaka hiyo nafuu, wanasahau kuwa Yanga inatakiwa kucheza na KMC 22/2/2023, na wakati huo huo wanatakiwa huko Mali 26/2/2023. Na sijui wanaopinga hili, wanajua umbali wa kufika huko. Simba yeye anaenda Kampala tu, hapo Uganda!
 
Wala hatuwazi
 
Kweli mambo yanabadilika. Simba wa kuomba poo leo?

Hakuna kughairi kitu. Chezeni mpira

Mlizoea Sana misimu iliyopita mbeleko za viporo. Safari hii bampa to bampa. Hakuna kichaka cha kujificha. Azam anawapakata na Kampala mnapakatwa

Mkamlete manzoki tena aje kuhesabu kura
 
Vibabu vyao vimekata upepo
 
Halafu si wana kikosi kipana hawa mibumunda? Makocha wawili pia. Yupo yule yule kipupunge wa siku zote na huyu makeke mpya. Kama vipi wamchukue mshana jr awe mchawi wao
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
Hakuna kuahirisha wala kuweka kiporo msimu huu kila mtu ashinde mechi zake
 
Mi naungana nawe! Watu hapa, wanaiwazia Simba tu, labda ndio wenye kutaka hiyo nafuu, wanasahau kuwa Yanga inatakiwa kucheza na KMC 22/2/2023, na wakati huo huo wanatakiwa huko Mali 26/2/2023. Na sijui wanaopinga hili, wanajua umbali wa kufika huko. Simba yeye anaenda Kampala tu, hapo Uganda!

Kwani mnaenda kwa basi? Acheni deko, baada ya masaa 48 toka game. Inatosha kbs kukipiga.
 
Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
Wanalipwa kwa ajili hiyo, na hap kati ya match na match inakubalika, kwanini waahirishe?
 
Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
ushauri mzuri tatizo letu wabongo tumeweka mbele ushabiki kuliko kuangalia Hali halisi, Mechi za kimaifa zina intensity kubwa hivyo kuchosha Sana wachezaji, angalia Yanga alivyocheza na kagera baada ya kutoka Kwa club African, Misri wako juu yetu Ila huko timu ikiwa kimaitaifa inakua na viporo maana huko inapambania taifa. Hili sio la kutazama kiushabiki tena Lina tija Kwa Yanga kuliko hata simba
 
Back
Top Bottom