Wewe ni shabiki wa timu gani kwanza
Ni leo sio keshoSimba mkuu. Niliangalia Ratiba Juzi. Ikaonesha 3/3/2022 saa 1:00 Usiku. Leo naangalia, imeandikwa tomorrow
Ni keshoNi leo bhana sio kesho,acha kupotosha watu
Mech ni leoMechi Ni Kesho Saa Moja Kamili Usiku.
Sio kweliNi kesho
Tuwekee kikosi basi kinachoanza si ndio mida hii? Maana ni mbishi haswaSio kweli
Sio kweli
Mechi keshoWewe ni shabiki wa timu gani kwanza
Biashara wana jambo laoDah! Unakutana na Biashara ambao iko [emoji91][emoji91] kweli kweli siku hizi za karibuni! Yaani mechi yao ya mwisho wamempiga Azam 2 - 0! Huku simba yenyewe ikitoka kupokea kichapo kama hicho hicho kutoka kwa Waarab!
Hakika mchezo utakuwa mzuri sana, iwapo tu waamuzi watachezesha hiyo mechi kwa kufuata sheria zote 17 za mpira wa miguu.
Ha ha ha kama hawezi kufuatilia michezo Bora akawe Mlinzi wa Dr Slaa maana naye kaanza kueukaMechi imecheshachezwa Simba 5
Kama round ya kwanza walicheza pungufuu na mkapewa Penalty na hamkushinda 5 😀, leo hizi gori ni REFA anafunga?Mechi imecheshachezwa Simba 5