Match Ya Simba na Biashara

Match Ya Simba na Biashara

Ni leo bhana sio kesho,acha kupotosha watu
 
Dah! Unakutana na Biashara ambayo iko 🔥🔥 kweli kweli siku hizi za karibuni! Yaani mechi yao ya mwisho wamempiga Azam 2 - 0! Huku simba yenyewe ikitoka kupokea kichapo kama hicho hicho kutoka kwa Waarab!

Hakika mchezo utakuwa mzuri sana, iwapo tu waamuzi watachezesha hiyo mechi kwa kufuata sheria zote 17 za mpira wa miguu.
 
Dah! Unakutana na Biashara ambao iko [emoji91][emoji91] kweli kweli siku hizi za karibuni! Yaani mechi yao ya mwisho wamempiga Azam 2 - 0! Huku simba yenyewe ikitoka kupokea kichapo kama hicho hicho kutoka kwa Waarab!

Hakika mchezo utakuwa mzuri sana, iwapo tu waamuzi watachezesha hiyo mechi kwa kufuata sheria zote 17 za mpira wa miguu.
Biashara wana jambo lao
 
Back
Top Bottom