Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

Majigambo ya mtu binafsi kwenye timu tafasri yake ngumu sana. Kuna member mmoja humu alitamba kutembea uchi iwapo simba atamfunga Widad, sina uhakika kama alifanya hivo. Nadhan hizi huwa ni bange tu
 
Mimi binafsi umenifurahisha kwa sentesi hii

"Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena"
 
Post za Sould Out sizioni leo au siku hizi hamjazi uwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…