Habari zenu, nilikuwa nasumbuliwa na malaria kwa takriban mwaka sasa,, nimefanikiwa kuitibu kama wik 3 zilizopita kwa kutumia miti shamba. Tatizo lilibakia ni kikohoz(mara chache), mate yanakuwa mazito na machungu. Dawa za hospital hazijanisaidia, naomba msaada wenu.