Mate mazito mazito na machungu.

Mate mazito mazito na machungu.

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Habari zenu, nilikuwa nasumbuliwa na malaria kwa takriban mwaka sasa,, nimefanikiwa kuitibu kama wik 3 zilizopita kwa kutumia miti shamba. Tatizo lilibakia ni kikohoz(mara chache), mate yanakuwa mazito na machungu. Dawa za hospital hazijanisaidia, naomba msaada wenu.
 
Nenda Samunge Loliondo kaonane na Ambilikile Mwasapile, atakupa kikombe kimoja tu kwa shilingi mia tano, nawe utapona kabisa.
 
mate machungu na mazito inawezekana ni kwa sababu ya hiyo miti shamba uliyo itumia tulia kwanza itaisha
 
Back
Top Bottom