Mate mazito yananisumbua naombeeni msaada

Mate mazito yananisumbua naombeeni msaada

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Jamaani nasumbuliwa na mate mazito kwani ninatoa makoozi mazito sana utafikiri mwenye kikozi sikooi ila mate ndoo yanatoka mazito naombeeni msaada nimejaribu kutumia madawa mengi bila mafanikio nifanyeeje kwani wakati nikiamkaa asubuhi ndoo kabisa natoa makozi mazito sana.
 
nakushauri uwaone wataalam zaidi.usichoke.if possible,peleka sample yan hayo mate kwaajili ya uchunguzi.pole ndg.
 
jamaani nasumbuliwa na mate mazito kwani ninatoa makoozi mazito sana utafikiri mwenye kikozi sikooi ila mate ndoo yanatoka mazito naombeeni msaada nimejaribu kutumia madawa mengi bila mafanikio nifanyeeje kwani wakati nikiamkaa asubuhi ndoo kabisa natoa makozi mazito sana

Nimeshindwa kukuelewa kama unatoa makohozi au mate mazito...kwa sababu hayo maneno mawili umeyatumia mara kadhaa bila kutofautisha kipi ni kipi!? Kohozi aliwezi kutoka mpaka ukohoe. Unachotoa wewe ni mate au makohozi?
 
Jitahidi kunywa maji kwa wingi lita 2 mpaka 3 kwa siku ukiweza pata glass za maji 4 asubuhi kabla ya kuswaki then uendelee na kiasia kilcho baki ni vema ukapata maji yasiyo baridi
 
haeleweki

nadhani madokta watamsaidia sana wakimuelewa

nenda hospital
 
yaani namaanisha kuwa natoa mate mazito sio makohozi kwani sikooi
 
Back
Top Bottom