MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app