Mate na HIV

Mate na HIV

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,278
Reaction score
3,023
Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani maelezo sahihi ni hayo uliyopewa Hospital! Hapa jf ni porojo tu!!! Sasa hautaki kuamini maelekezo ya Hospital unadhani ya hapa jf ndio sahihi zaidi!???
 
Ili upate HIV kupitia mate. Nilazima unywe mate kuanzia Lita ishirini 20 na kuendelea ukooooo.

Hapa mate sio inshu. Inshu nipale mnaponyonyana alafu nyote muwe na vimchubuko viwezavyo kutoa damu nakupokea damu.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Duh!!!,Lita 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..

Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.

Du pole Sana umejaa hofu kuu. Ushauri uliopewa hospital ndio sahihi
 
nimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..

Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kisaikolojia na hayo madonge! Sio ya mchezo mchezo kama unavyofikiria miksa kuota upo kuzimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mate au mmeshiriki!?? Zimepita saa 72!???

Mkuu kama mate yangeambukiza ungekuta karibu 40% ya Population wana HIV. Hebu fuata hii link ya CDC

https://www.cdc.gov/hiv/basics/transmission.html
ni mate tu alikuwa anatema halafu ni mlevimlevi na nilkuwa nina mchubuko mkononi moja kwa moja yakadondokeapo.. shida ni endapo kulikuwa na vidamudamu kwenye mate yake hapo anaweza niambukiza.

kujihami nimeona isiwe tabu nipambane na PEP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

pole sana cha kufanya nenda kampime aliyekutemea

Kama atakuwa powa jua Upo salama na kama nimuathilika jiandae kisaikolojia kupima baada ya miezi mitatu ili uanze dozi
 
Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu ana HIV? Kapime then upime 3 months. Kama hauna amani bora wakupe dawa PEP.
 
Ni mate au mmeshiriki!?? Zimepita saa 72!???

Mkuu kama mate yangeambukiza ungekuta karibu 40% ya Population wana HIV. Hebu fuata hii link ya CDC

https://www.cdc.gov/hiv/basics/transmission.html
no ilikuwa jana jmosi saa nne hivi asubuhi... na mm nilikuwa nakimbizana na hayo masaa.. hosp nimewaeleza na kuwaonyesha mchubuko nilionao ambako mate yamedondokea wakawa wanakomaa nije na huyo mtu kwanza na yy apimwe.. nikawaambia kumpata ni ngumu na pia anaweza agome.. ikabidi wanipime ma hepatisis, syphilis na HIV,

Ila dawa kutoa wakagoma.. fujo niliyoanzisha pale ikabidi wanipe maana nilikuwa nakimbizana na 72hrs...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni mate tu alikuwa anatema halafu ni mlevimlevi na nilkuwa nina mchubuko mkononi moja kwa moja yakadondokeapo.. shida ni endapo kulikuwa na vidamudamu kwenye mate yake hapo anaweza niambukiza.

kujihami nimeona isiwe tabu nipambane na PEP.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo umuhimu wa kuweka plasta kwenye mchubuko wowote. Hapo utakuwa haupo sawa kisaikolojia. Nenda walilie wakupe dawa. Wadanganye hata ulitembea na muathirika.
 
nimepewa tayari hapa najiandaa kumeza sasa duuh haya maisha kuna mambo mengi ya hatari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom